About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

Pakua App Yetu Hapa Kupata Burudani

Ngombozi Media App
Share it:

Kwa wale wapenzi wa Website yetu ya Burudani ya ngombozi media, Tunapenda Kuwataarifu kuwa Tuna App Yetu Mpya ya simu za Adroid,, Hivyo Basi unashauriwa kupakua app yetu hii sasa ili upate updates za nyimbo zetu punde tu tunapoziweka :
Kama Hutumii App yetu ya “Ngombozi Media” Basi tunakuomba ufanye hivyo sasa Ili uweze Kupakua Nyimbo Mpya kirahisi na pia Utapata Taarifa kila wimbo Mpya unapotufikia.Pia usisahau kuweka maoni yako kuhusu App yetu!.Asante.

PAKUA APP YETU HAPA!

Share it:

Promo

Post A Comment:

0 comments: