About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

Ngombozi Media App For Android | DOWNLOAD

Ngombozi Media App For Android | DOWNLOAD
Share it:
Kwa wale wapenzi wa Mziki Mzuri, Website yetu ya Burudani, Tunapenda Kuwataarifu kuwa:
 Kama Hautumii App Basi tunakuomba Upakue App yetu Ili uweze Kupakua Nyimbo Mpya kirahisi
Pia Utapata Taarifa kila wimbo Mpya unapotufikia.
Official android App for www.ngombozi.com
This application is developed with the following key features:
• Listening Music online with latest collection of tracks
• Download Music for listening offline
• Add songs to your favorites list to easily playback
• Listen to Music and do other things with a convenient way with playing background modes, customizable through the Notification bar (notification).


Share it:

Promo

Post A Comment:

0 comments: