About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

Dont Miss

LIVE : Siku ya Mwananchi Yanga 2022

LIVE : Siku ya Mwananchi Yanga 2022
Share it:

Siku ya YANGA 2022 2022 Leo Yanga sports club inacheza tena na Viper United kutoka Uganda katika kilele cha SIKU YA MWANANCHI, itakayofanyika leo tarehe 06 Agosti katika uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam.

BONYEZA PLAY


• Hata hivyo, Siku ya mwananchi ambayo inafanyika kwa mwaka wa pili sasa ikiwa na lengo la kutambulisha wachezaji wapya pamoja na wachezaji wakongwe watakaocheza msimu huu mpya wa 2023/2024.

•Mechi hii inatumika kama mechi ya kirafiki kwa Yanga katika maandalizi yake ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC unaotarajiwa kuanza Agosti 13 ambapo Yanga itashuka dimbani kumenyana na Simba kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. ngao ya jamii.


Share it:

NEWS

Post A Comment:

0 comments: