NEWS

Baraka The Prince Amtukana Alikiba Kweupe

Download | Play Now
png 20220903 215837 0000

Akiongea na chanzo cha habari cha Bongo 5, Staa huyo wa Bongo Fleva Brakah the prince aliyatoa ya moyoni na kusema hamkubali kabisa na hampendi msanii mwenzake wa Bongo Fleva Alikiba

Sakata lilianza pale wakati Baraka The Prince ana pafomu alipomaliza mashabiki waliomba apafomu ngoma yake aliyomshirikisha @officialalikiba na kusema hataki kumsikia na @officialalikiba ni mpumbavu tu.