About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

Dont Miss

Download Full Album : P Funk Majani - MAJANI Full Album (Mp3)

Download Full Album : P Funk Majani - MAJANI Full Album (Mp3)
Share it:

In a harmonious fusion of nostalgia and contemporary innovation, P-Funk Majani takes you on a melodious journey through the rich tapestry of Bongo Records' timeless classics. 

Welcome to "MAJANI," an album that pays homage to the iconic sounds of Bongo Flava, recreating them with a fresh, modern twist This album is not just about reliving the past; it's a celebration of Bongo music's enduring legacy. 

It's a testament to the fact that great music knows no boundaries, and it has the power to bridge generations, cultures, and time itself. So, without further ado, join us on this enchanting expedition through the classics of Bongo Records, reinvented for a new era. 


TRACK LISTS (The Majani Album MP3 Download)

  1. P Funk Majani Ft Rapcha & Conboi Cannabino - Tunashine | Download Mp3
  2. P Funk Majani Ft Young Lunya - Napenda Money | Download Mp3
  3. P Funk Majani Ft Ngwair , Rapcha & Jay Melody - BBM | Download Mp3
  4. P Funk Majani Ft Country wizzy - Zee la busara | Download Mp3
  5. P Funk Majani Ft Whozu - Toa Tano | Download Mp3
  6. P Funk Majani Ft G Nako - Hakuna Kulala | Download Mp3
  7. P Funk Majani Ft P1 Black & Stamina - Nini Unataka | Download Mp3
  8. P Funk Majani Ft Billnass , Orbit Makaveli & Otuck William - Niko Bize | Download Mp3
  9. P Funk Majani Ft MMS - Utajiju | Download Mp3
  10. P Funk Majani Ft Mwanangu99 & Baba Levo - Nyumbani | Download Mp3
  11. P Funk Majani Ft Mabantu - Vile Nataka Demu | Download Mp3
  12. P Funk Majani Ft Harmonize & Dayoo - Life Time | Download Mp3
  13. P Funk Majani Ft Cham Music - Mapenzi Shikamoo | Download Mp3
  14. P Funk Majani Ft Stan Rhymes , Mucho flow & Cham music - Champion | Download Mp3

"Majani" is not just an album; it's a heartfelt tribute to the timeless melodies that have shaped the soul of a nation. Let the music carry you away, and let your heart resonate with the rhythms of "Majani." Listen below via boomplay.



Share it:

Artists Album

Audio

p funk majani

Post A Comment:

0 comments: