About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

Dont Miss

Audio : Jofu Madini Ft PNC - Utamu Mp3

Audio : Jofu Madini Ft PNC - Utamu Mp3
Share it:

Tanzania uprising artist known by his stage name Jofu Madini has unlocked new song titled as "Utamu" featuring PNC, Produced by Walla Mawaka. Enjoy it below.

RELATEDJofu Madini Ft Kenzo Man & Dode - NISHAI Dode

DOWNLOAD

Listern to Jofu Madini Ft PNC - Utamu Mp3


Share it:

Audio

jofu Madini

PNC

Post A Comment:

0 comments: