NYIMBO MPYA LEO 2026 | DOWNLOAD MPYA BONGO
Karibu kwenye update ya leo 2026 ya nyimbo mpya zinazotrend Tanzania na Afrika Mashariki. Hapa utapata mix ya Bongo Flava, Singeli, Afro na Hip Hop kutoka kwa wasanii wakubwa na chipukizi wanaofanya vizuri kwenye game.
NYIMBO MPYA LEO:
• Harmonize – Wewe
• Lady Jaydee – Free
• Mbosso – Darasa La Saba
• Dogo Dee – New King
• Lony Bway – Am In Love
• Sunny Voice – Omaya
• Mocco Genius – Wange
• Bam Boy Ft Barnaba – Sumu
• Udoo – Sababu
• G Nako Ft Dammy Love – Mfumo
SINGELI MPYA LEO:
• Jetty Mc – Mazoea
• Dogo Elisha Ft Kayumba – Sisizii
• Mudy Msanii – Cholo
• Dogo Elisha Ft Mczo Morfan – Mambo Leo
JINSI YA KUDOWNLOAD:
Tembelea website yetu ya ngombozi.com , kisha search jina la wimbo au msanii unayemtafuta leo. Baada ya hapo bonyeza “Download” kupakua wimbo kwa haraka na ubora mzuri kwenye simu yako.
Endelea kutembelea kila siku kwa nyimbo mpya, video, albums, EP na updates zote za muziki wa Bongo Flava, Singeli na Afro.
