Audio : Diamond Platnumz – Ntampata Wapi | Download
Download : Diamond Platnumz – Ntampata Wapi Mp3 Audio
Ntamapa wapi notableLyrics:
“Sura yake mtaratibu
Mwenye macho ya aibu
Kumsahau najaribu
Ila namkumbuka sana
Umbo lake mahbibu
Kwenye maradhi alionitibu
Siri yangu, ukarimu
Bado namkumbuka sana”
