Matokeo ya Kidato cha Sita 2026 Ya Shule Zote – Form six results
Baraza la Mitihani la Tanzania hutangaza Matokeo ya Kidato cha Sita (ACSEE) 2026 kwa watahiniwa wote waliomaliza elimu ya sekondari ya juu nchini Tanzania. Matokeo haya yanahusisha shule za serikali na binafsi kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar.
- SOMA HII PIA>>> Matokeo ya kidato cha nne
Matokeo ya form six 2026 ni muhimu kwa wanafunzi wanaotarajia kuendelea na masomo ya elimu ya juu katika vyuo vikuu, vyuo vya kati na taasisi mbalimbali za mafunzo ya kitaaluma.
