NEWS

Dj Khaled Atangaza Video Mpya Ya Staying Alive

Download | Play Now
SquarePic 20220805 20103983

Mkali kutokea Marekani Dj Khaled ambae this time ametuletea hii video mpya ya wimbo wake aliyowashirikisha wakali Drake na Lil Baby.

Waweza ukabonyeza play kuusikiliza na kuitazama hii video mpya waliyoiachia leo Mapema