NEWS

HAYA HAPA MATOKEO KIDATO CHA SITA 2021 YATAZAME


Baraza la mitihani la taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na Ualimu kwa mwaka 2021. Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Dkt Charles Msonde ametangaza matokeo hayo akiwa Zanzibar.

Kwa urahisi unaweza kuyaona matokeo ya kidato cha SITA kwenye link iliyoandikwa ‘ACSEE 2021′ >>> BOFYA HAP KUONA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA

Related Post  Diamond Platnumz return to the MTV Europe Music Awards 2023(MTV EMAs 2023)