About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

AudioMPYA: Dogo janja kwenye trending ya "IMANI"

AudioMPYA: Janjaro kwenye trending ya "IMANI"
Share it:

Mabibi na Mabwana si mwingine ni Dogo janja kwenye trending ya Audio yake mpya inayoitwa imani.Ngombozi media tumeona isiwe kesi tukusogezee.

Unaweza kuidownloada hapa chini

Kwa HABARI KAMA HIZI HAKIKISHA UNAKAA NASI KUPITIA MITANDAO YETU YA KIJAMII-NGOMBOZI MEDIA
Share it:

Audio

Post A Comment:

0 comments: