Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.
Ngombozi
ReplyDeleteMisomisondo kama mbele
DeleteWell done
ReplyDeleteNataka kupost wimbo Ila Niko nje na Tanzania
ReplyDeleteNoma sana
ReplyDeleteKivoi💪💪💪
ReplyDeleteI have mixed I want to post from Kenya
ReplyDeleteNina site ya muziki ambayo ni https://offblogmedia.com and can i get your cellphone #?
ReplyDeleteHello I can get your phone number plz
DeleteWeb makini
ReplyDeleteNapost vp wimbo
ReplyDeleteNaomba wimbo wa Karen wa happy birthday
ReplyDeleteGood
ReplyDeleteNina nyimbo zangu nahitaji unifanyie mpango
ReplyDelete