About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

CHA JUU BOOOST! Shinda UJAZWE zaidi na BETIKA!

CHA JUU BOOOST! Shinda UJAZWE zaidi na BETIKA!
Share it:

CHA JUU BOOOST! Shinda UJAZWE zaidi na BETIKA!
Bonge la mchongo limekuja kwa wachezaji wa BETIKA! Mchongo huu kusema za ukweli umezidi 

kutuinua. Mara kibao BETIKA imetuinua, ila hapa bwana wametupaisha kabisa TUPO JUU.

Cha JUU BOOST – Boost la uhakika SHINDA UJAZWE na hamna JANJA JANJA! Wewe ni kutupia 

ukishinda unalamba mzigo mpaka 30,000,000.

HUU NI MCHONGO SIYO MCHONGOMA

Mvua ya mkwanja kutoka BETIKA inaponyesha huwa inasababisha mafuriko salama katika mifuko yetu 

si ndiyo? sasa ili iendelee kunyesha tikisa mawingu na CHA JUU BOOST.

Twende tukatengeneze ubashiri wetu. Cha kufanya chukua simu yako ya mkononi alafu zama 

www.betika.co.tz pale kwa juu utaona mahali pameandikwa Cha JUU Boost pale ndiyo kuna mchongo 

wote! Bofya upige mzigo na Ukishinda malipo fasta kama upepo.

Embu subiri kwanza……. umejisajili? Kama hujajisajili fanya hivyo ni rahisi haichukui kabisa muda 

wako kukamilisha usajili.

Jisajili hapa >>> https://www.betika.co.tz/

Kwa msaada zaidi usisite kupiga namba hizi 0659 070 700

Pia unaweza kuandika kupitia WhatsApp namba 0657 788888.

Tupo kwa hewa masaa 24 siku saba za wiki.

Twende Kibingwa

Betika Chaguo La Mabingwa.

Share it:

Promo

Post A Comment:

0 comments: