Ads 0

Type Here to Get Search Results !

TINGISHA KITAA NA JITI,SHINDA MAMILIONI KWA DAU DOGO LA KUANZIA SHILINGI 100 TU,MALIPO FASTA KAMA UPEPO


Niaje mwana? hauna 100 hapo?

Siyo mara moja unapopigwa mzinga na unataka kuonyesha hauna hela, msisitizo huwa unatoka na 

mwanangu sina hata miaaaaaa!

Hiyo kauli imeshazoeleka kitaani na imekuwa ikitumika kwa lengo la kutumia udogo i wa shilingi 100 ili 

mpigwa mzinga aaminike machoni mwa aliyemuomba hela kwamba hana pesa. Umenipata Eh? Hivyo 

ndivyo tunavyoishi kitaa.

JITI hata nyumbani huwa na chimbo lake maalum mara nyingi usipolifuma uvunguni, basi limeponea 

chupu chupu kufuliwa kwenye nguo.

Wakati unapiga povu, Dah! ndiyo unalishtukia JITI hili hapa.

Tofauti ya mchezo imeletwa na BETIKA! Siku hizi Shilingi 100 siyo ndogo, INATOSHA BWANAA!! Mia sasa 

ina thamani na Inatosha kabisa kukufanya ushinde mpaka Shilingi 30,000,000 utingishe kitaa na watu 

wako wa nguvu.

Rahisi sana cha kufanya we Tembelea www.betika.co.tz Jisajili na uanze kubetika katika ligi mbali mbali 

ulimwenguni alafu kizuri zaidi unapojisajili unalamba 1,000 na ukabetika ODDS KUBWA na dau dogo la 

kuanzia SHILINGI 100 tuuuu! Unaachaje mtelezo huu ukupite? TWENDE KIBINGWA.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad

Ads 2