About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.
Ads

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA
Share it:


 Tunapenda Kukutaarifu Wewe ambaye Unapenda Kuweka Tangazo Lako Katika Website Yetu kuwa Nafasi Za Kuweka Matangazo Zinapatikana.

Website Yetu inapokea zaidi ya watembeleaji 1,500,000 (1.5Million) Kila Mwezi na 100,000+  kila siku, Ni nafasi Yako sasa Kutangaza na Sisi.
Waweza wasiliana nasi kupitia namba zifuatazo 0744895510 & 0628435315 
Au Email  : ngombozimedia@yahoo.com
Share it:

Ads

Post A Comment:

0 comments: