Ads 0

Type Here to Get Search Results !

Jishindie Simu Kila Wiki Kupitia Betika

Kampuni namba moja ya burudani za kubashiri ya Betika! kwa kushirikiana na tovuti ya NGOMBOZI MEDIA wanakuletea  promosheni  ya kibabe inayojulikana kama ‘PATA ZAIDI UKIBETIKA” Promosheni ambayo  inakuwezesha wewe mteja wake kujishindia simu janja kupitia mikeka mbalimbali utakayokuwa ukibeti kupitia tovuti ya BETIKA


Hiki ni kipindi chako cha kushinda zaidi ya unavyoshinda huko kwingine, Jipigie pesa ndani ya BETIKA! huku ukinogeshewa ushindi wako kwa kupata SIMU JANJA yenye viwango.



Pata zaidi UKIBETIKA, Unakosaje?


Jinsi ya kushinda ni rahisi mno ;


Zama katika tovuti ambayo ni www.betika.co.tz

Zama katika ‘Mechi Kali Za Leo au BETIKA LIVE na uweke beti yenye odds ya kuanzia 5.99

Weka dau la kuanzia buku moja au zaidi

Washindi wa 5 watatangazwa kila wiki

Beti mechi nyingi ujiongezee nafasi ya kushinda


Changamkia promosheni hii usepe na  simu ya bure kwa kuhakikisha unatupia beti zako kupitia BETIKA chimbo pekee linalofanikisha ushindi wako bila MIYEYUSHO!


Namba ya malipo kama ukiweka mkwanja katika akaunti yako ya BETIKA! ni 545454 na kama kuna changamoto yoyote unaipitia unapotumia huduma zao wapigie kupitia simu namba 0659 070 700  au Chati kupitia WhatsApp namba 0657 788 888 Utahudumiwa fasta!


Vilevile unaweza kujiunga na group letu la  WhatsApp ambalo lina wadau mbali mbali ambao wanajadiliana mambo ya kisoka na kupeana tips katika mikeka yenye pesa za kumwaga – Bonyeza link ya kukupeleka moja kwa moja kwenye group BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA GROUP LETU LA WATSAPP


BETIKA! Chaguo la Mabingwa


Vigezo na masharti kuzingatiwa

Hairuhusiwi kwa wenye umri chini ya miaka 18

Cheza kistaarabu

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad

Ads 2