WASHINDI 5 WIKI YA KWANZA WAMEPATIKANA!
Ni washindi wa kwanza waliojishindia SIMU JANJA pamoja na zawadi nyingine kedekede kwenye PROMOSHENI YA SHINDA SIMU UKIBETIKA iliyoandaliwa na Kampuni namba moja ya burudani za kubashiri ya Betika! kwa kushirikiana na tovuti ya NGOMBOZI MEDIA.
Baraka Obedi Sumari kutoka Arusha Tengeru ni mmoja kati ya washindi 5 wiki ya kwanza kwenye promosheni hii, amesema haya alipokuwa akizungumza na NGOMBOZI MEDIA mara baada ya kukabidhiwa zawadi zake;
“Nimejisikia wa maana sana kupokea zawadi zangu zilizotumwa kwa njia ya ndege. Nawaambia wengine waendelee kucheza kwa dau la BUKU na ODDS kuanzia 5.99 ili nao washinde bila MIYEYUSHO”
Washindi wengine wanne ambao WAMESHINDA SIMU JANJA pamoja na zawadi nyingine kutoka Betika ni;
2. Yunus Ibrahim Makame - Zanzibar
3. Omary Shabani Shabani - Mara
4. Joseph Emmanuel Marwa - Geita
5. Pastory Biamungu Chakwita - Morogoro
Hata wewe unaweza KUSHINDA SIMU JANJA KILAINII! Kuingia kwenye listi ya WASHINDI wiki ijayo fuata vigezo vifuatavyo;
Zama katika tovuti ambayo ni www.betika.co.tz
Zama katika ‘Mechi Kali Za Leo au BETIKA LIVE na uweke beti yenye ODDS ya kuanzia 5.99
Weka dau la kuanzia BUKU MOJA au zaidi
Washindi wa 5 watatangazwa kila wiki
Beti mara nyingi ujiongezee nafasi ya kushinda
Namba ya malipo ya kuweka mkwanja kwenye akaunti yako ya BETIKA! ni 545454 na kama kuna changamoto yoyote unaipitia unapotumia huduma zao bonga nao hapa 0659 070 700 au Chati kupitia WhatsApp namba 0657 788 888 Utahudumiwa FASTA.
Pia unaweza kujiunga na group letu la WhatsApp ambalo lina wadau kama wote wanaojadiliana mambo ya kisoka na kupeana tips katika mikeka yenye KUTUSUA – Bonyeza link ya kukupeleka moja kwa moja kwenye group >>> JIUNGE , BOFYA HAPA KUJIUNGA KWENYE GROUP LA WATSAPP
BETIKA! Chaguo la Mabingwa
Vigezo na masharti kuzingatiwa
Hairuhusiwi kwa wenye umri chini ya miaka 18
Cheza kistaarabu