About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

Dont Miss

Ads

Kampa Kampa Tena Kwenye Metro FM Sodo Bingwa League Jumapili Hii

Kampa Kampa Tena Kwenye Metro FM Sodo Bingwa League Jumapili Hii
Share it:


KAMPA KAMPA TENA Ndani ya Metro Fm Sodo Bingwa League 


   Kampa Kampa Tena kwenye uwanja wa Kihesa Jana Jumapili 

MATOKEO YAKO HIVI

1. BONDO FC 2-0 VICTORIA PARIS FC 

2.  ISENI FC 1-1 MSIKITINI FC

   

Betika inakupa nafasi ya kushida Tiketi ya kwenda kucheki LIVEEE! Gemu ya  Simba Vs Yanga, K VIP zaidi kwa Dau la Shilingi Elfu 1000 Au Zaidi, Suka Mkeka Wako Wenye ODDS Kuanzia 5.99 Au Zaidi , Tembelea www.betika.co.tz  SASA!


Mashindano haya yamedhaminiwa na Kampuni Namba moja ya kubeti nchini Tanzania ya BETIKA!

#betikachaguolamabingwa

#twendekibingwaShare it:

Ads

Post A Comment:

0 comments: