About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

Dont Miss

Ads

KWEA PIPA KUICHEKI KARIAKOO DERBY KI-VIP! NA BETIKA

KWEA PIPA KUICHEKI KARIAKOO DERBY KI-VIP!
Share it:

JUMLA YA WASHINDI 23 wamepatikana mpaka sasa🥳!
Hawa ni baadhi ya WASHINDI watakaokwea PIPA mpaka DAR kushuhudia Tanange la YANGA vs SIMBA LIVEEEE bila makando kando🔥
TAZAMA WASHINDI HAPA
UNASUBIRI NINI?

Zama - www.betika.co.tz kisha beti kwa BUKU na ODDS kuanzia 5.99 USHINDE bila MIYEYUSHO. #ShindaBilaMiyeyusho


Share it:

Ads

Post A Comment:

0 comments: