About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

Dont Miss

Download Video za Bongo Fleva : Nyimbo Mpya 2023

Download Video za Bongo Fleva : Nyimbo Mpya 2023
Share it:

Download Video za Bongo Fleva : Nyimbo Mpya 2023

Nyimbo Mpya kila siku Download Video za bongo fleva -Welcome to our website if you are a lover of the new Bongo Fleva songs, Singeli songs,Gospel songs or Afro beats songs, Afro Congo or Amapiano, you can find them all here Ngombozi.com




Share it:

NEWS

Video

Post A Comment:

1 comments: