About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

Dont Miss

Mtoko Wa Kibingwa Na Betika : LEO ndio LEO msema kesho muongošŸ”„!

Mtoko Wa Kibingwa Na Betika : LEO ndio LEO msema kesho muongošŸ”„!
Share it:

LEO ndio LEO msema kesho muongošŸ”„! 


Ushindi ni wako LEO, usikubali kupitwa kwenye BONGEEE LA DROO LA MTOKO WA KIBINGWAšŸ„³


Tupia ushindi kwa Namungo, Chelsea, Liverpool, Man United, Real Madrid, Dortmund na Bayern ushinde TIKETI kuwaona YANGA vs SIMBA KI-VIPšŸ”„


Zama - https://bit.ly/3CUNLyD  ushinde hata KEKA LISIPOTIKIšŸ™Œ


#ShindaBilaMiyeyusho

#TwendeKibingwa


Share it:

Ads

betika

Post A Comment:

0 comments: