Fresh Air NEWS

Kocha Florent Ibenge Kutua Klabu Ya Simba Sc

Download | Play Now
SquarePic 20240508 21485581

Inatajwa kuwa Klabu ya simba wameweka jina la Florent Ibenge kama mrithi sahihi wa kocha aliye ondoka ndani ya timu Yao “AbdelhakBenchika”…

Ibenge ambae ndio mshindi wa CAF Confederation Cup na mwana fainali ya CAF Champions League Kwa sasa ana inoa Al Hilal Omdurman ya SUDAN….

Je! Klabu ya Simba inahitaji Kocha mwenye profile kubwa na iliyoshiba kama Ibenge ⁉️..