Rasmi Niffer Atangaza Kuachana na Mume Wake OG
Mfanyabiashara maarufu Mitandaoni Jenifer Jovin (Niffer) ametangaza rasmi kuwa hayupo tena kwenye mahusiano na Aliyekuwa Mume wake OG.
Ambapo kupitia ukurasa wake wa instagram niffer Ameandika
“Kabla hamjasema kijana alivosimama na wewe ulivokua gerezani, kindly KITANDA USICHOLALIA HUJUI KUNGUNI WAKE.
Nimechukua muda wa kutosha kabla ya kuweka taarifa hii hapa
sio kwa hasira, wala kwa maumivu bali kwa utulivu na uamuzi wa kufunga ukurasa kwa heshima.
Namelisema hili kwa sababu mimi ndiye niliyaleta hadharani tangu mwanzo.
Wanting the best out of people, doesnt mean they will be the best no matter what you do.
Kwa sasa nipo kwenye kipindi cha mpito katika maisha yangu, na si rahisi hata kidogo ,so many things are changing ,Allah is taking many things i believed was so precious in my life and all i can say is Alhamdulillah , its for the best.
Kuacha nyuma yale uliyozoea si jambo jepesi, lakini kile kinachopaswa kufanyika, lazima kifanyike.
Siwez kukufuru lolote lile, Allah ananipitisha kwenye mikono ya watu tofaut kwa sababu zake yeye na mm nimeamua kuwa msikivu kuskilza na kuona
I will never talk about him so kindly dont you ever ask me about him , in a positive or negative way.
If you guys really love me, you will respect my decison and understand that things just didnt work.”

No comments