Fresh Air NEWS

Najua Haulijui Hili La Marehemu Steven Kanumba na Diamond Platnumz

Imeelezwa kuwa kwenye filamu ya Marehemu Steven Kanumba “Devil Kingdom” ile nafasi ya kajala ilibidi acheze wema sepetu lakini diamondplatnumz alimzuia Wema kuigiza kwenye hiyo filamu…..

Utakumbuka wakati ule Diamond Platnumz alikuwa kwenye mahusiano ya kiMapenzi na Wema sepetu.

Related Post  Zuchu Kulipa Billion 10 Kuondoka WCB