Breaking News

VIDEO MPYA: Chege Ft.Saida Karoli – Kaitaba


Msanii wa muziki Bongo, Chege ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Kaitaba’ ngoma hiyo amemshirikisha mwanamama Saida Karoli. Audio ya ngoma hiyo imetayarishwa na Moko Genius, wakati video imekua directed  na Hanscana.
Itazame hapa chini




No comments