Ads 0

Type Here to Get Search Results !

Hivi ndivyo Spidi ya gari ilivyomgharimu Quick Racka

Mkali wa Rap nchini Tanzania Quick Rocka ametumia ukurasa wake wa instagram kuelezea kuhusiana na gari lake kuharibika engine hii ni baada ya kujaribu kuendesha umbali wa kilomita 250 kwa saa moja.Ngombozi media tukaona isiwe kesi tukakusogezea hii.

Ambapo Quick Rocka ametoa onyo kwa watu na kusema kuwa asingependa kumuona mtu akijaribu kufanya hivyo kwasababu wataishia kununua engine mpya kila siku na kibaya zaidi mtu anaweza kuishia kwenye jeneza kutokana na kuonekana ni hatari kuendesha kwa spidi hiyo.

“Nimejaribu kilomita 250 kwa saa na nikaishia kuharibu engine  yangu, endelea kusubiri mpenzi baba atakununulia engine nyingine mpya *ONYO* Usijaribu kufanya hivi utaishia kununua engine mpya au kibaya zaidi utaishia kuwa kwenye jeneza”

Stori kama hizi hakikisha unakaa nasi kupitia mitandao yetu ya kijamii NGOMBOZI MEDIA.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad

Ads 2