About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

Msimamo wa ligi kuu baada ya mechi za leo October 1

Msimamo wa ligi kuu baada ya mechi za leo October 1
Share it:

Msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya mechi 6 leo kupigwa kawenye viwanja tofauti nchini.
Kwa habari kama hizi hakikisha unakaa nasi kupitia mitandao yetu ya kijamii NGOMBOZI MEDIA
Share it:

Michezo

Post A Comment:

0 comments: