About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

Breaking News : HAYA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2018 NA MATOKEO YA DARASA LA NNE 2018

Breaking News : HAYA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2018 NA MATOKEO YA DARASA LA NNE 2018
Share it:


Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa ya Kidato cha Pili (FTNA) 2018 Na Darasa la nne (SFNA) 2018 yametangazwa..Yaangalie hapa 

BOFYA >HAPA> KUONA MATOKEO YA DARASA LA NNE 2018 SFNA

Usisahau ku SUBSCRIBE YOUTUBE channel yetu ya NGOMBOZI TV kwa habari za burudani
Share it:

NEWS

Post A Comment:

0 comments: