About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

BREAKING NEWS : NECTA YATANGAZA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2018/19 YATAZAME HAPA

BREAKING NEWS : YATAZAME MATOKEO KIDATO CHA NNE 2018/2019
Share it:
January 24 2019 Baraza la mitihani Tanzania ‘NECTA’ limetangaza matokeo ya kidato cha nne ‘CSEE 2018’ na matokeo ya mtihani wa maarifa (QT) 2018.

LINK 2=>Kwa urahisi unaweza kuyaona matokeo ya kidato cha nne kwenye link iliyoandikwa ‘CSEE 2018’ >>>CSEE 2018
LINK 2=>Kwa urahisi unaweza kuyaona matokeo ya kidato cha nne kwenye link iliyoandikwa ‘CSEE 2018>>CSEE 2018
LINK 3=>Unaweza pia kuyatazama matokeo ya matokeo ya mtihani wa maarifa (QT) 2018 >>>(QT) 2018
Usisahu kujiunga nasi kupitia mitandao yetu ya Kijamii NGOMBOZI MEDIA,Youtube @NGOMBOZI TV

Download Audio : Meddy Khan- Kwanyuma
Share it:

BREAKINGnews

Post A Comment:

0 comments: