About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.
Ads

Karibu utangaze nasi sasa uwafikie maelfu ya watembeleaji wetu

Share it:
Tunapenda Kukutaarifu Wewe ambaye Unapenda Kuweka Tangazo Lako Katika Blog Yetu kuwa Sasa Nafasi Za Kuweka Matangazo Zinapatikana.
Website Yetu inapokea Watembeleaji Zaidi ya Laki 2 Kila Mwezi, Ni nafasi Yako sasa Kutangaza na Sisi.

Ngombozi Media ni Miongoni Mwa Blog Pendwa zaidi za Burudani Nchini Tanzania.

Karibu.
Kwa Mawasiliano Zaidi Waweza Kutupata Kwa Njia Zifuatazo.
Mobile: +255628435315 & 0744895510
Share it:

Ads

Post A Comment:

0 comments: