Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza Matokeo ya Darasa la Saba 2019 na kusema kuwa ufaulu umeongezeka kwa asilimia 3.78 ambapo waliofaulu ni asilimia 81.50 ya Watahiniwa 933,369.
Yatazame hapa ngombozi.com na ngombozi online tv
==>BOFYA HAPA KUTAZAMA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2019