About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

Download Full Ep : Linex - Dunia Nyingine

Download Full Ep : Linex - Dunia Nyingine
Share it:
1 : Linex - Dunia Nyingine | DOWNLOAD 

2 : Linex - Kesho Yangu | DOWNLOAD 


3.Linex Ft Gemma - Who I Am | DOWNLOAD
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 The VOA
Published : Aug 27 , 2020
Share it:

Artists Album

Post A Comment:

0 comments: