About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

ACSEE 2020 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIES (Form 6 Matokeo 2020)

ACSEE 2020 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIES (Form 6 Matokeo 2020)
Share it:
Leo August 21, 2020 Baraza la mitihani Tanzania ‘NECTA’ limetangaza matokeo ya kidato cha sita ‘ACSEE 2019’
Kwa urahisi unaweza kuyaona matokeo ya kidato cha SITA BOFYA HAPA KUTAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2019/2020  
Share it:

NEWS

Post A Comment:

0 comments: