About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

Download Full Album : Christina Shusho - Kitu Gani Album

Download Full Album : Christina Shusho - Kitu Gani Album
Share it:

1 : Christina Shusho - Baba Yangu |  DOWNLOAD Mp3
2: Christina Shusho - Songa Mbele | DOWNLOAD Mp3

3 : Christina Shusho - Yesu Yu Mwema | DOWNLOAD Mp3

4 : Christina Shusho -Pendo La Mungu | DOWNLOAD Mp3

5 : Christina Shusho -Nimuone Yesu | DOWNLOAD Mp3

6 : Christina Shusho -Muimbieni Bwana |  DOWNLOAD Mp3

7 : Christina Shusho -Kitu Gani | DOWNLOAD Mp3


Released : Feb 18 2021
©Ngombozi Media

Share it:

Artists Album

Post A Comment:

0 comments: