About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

Dont Miss

Hizi Hapa Sababu Za Mwakinyo Kupigwa na Liam Smith (+VIDEO)

Hizi Hapa Sababu Za Mwakinyo Kupigwa na Liam Smith (+VIDEO)
Share it:

Mwakinyo Aelezea Sababu Za Kushindwa Pambano Dhidi Ya Liam Smith. Pambano hilo limekamilika kwa Mtanzania Hassan Mwakinyo kupoteza pambano lake kwa TKO katika raundi ya nne dhidi ya Muingereza Liam Smith.

Bondia nyota wa Tanzania, Hassan Mwakinyo jana Jumamosi alipigana na bondia Mwingereza, Liam Smith kwenye Ukumbi wa M&S Bank Arena jijini Liverpool.Share it:

NEWS

Post A Comment:

0 comments: