About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

Dont Miss

Orodha Ya Majina Yote na Shule Walizopangiwa Darasa la saba 2023

Orodha Ya Majina Yote na Shule Walizopangiwa Darasa la saba 2023
Share it:



Majina yote na Shule Walizopangiwa Darasa la saba 2023

Baraza la Taifa la Mitihani NECTA leo limetoa orodha ya majina ya wanafunzi ana shule watakazojiunga nazo wanafunzi waliomaliza darasa la saba kuingia kidato cha kwanza mwaka 2023. Form one 2023 

BONYEZA HAPA KUTAZAMA MAJINA NA SHULE


Share it:

NEWS

Post A Comment:

1 comments: