About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

Dont Miss

ALBUM : Dizasta Vina - A Father Figure

ALBUM : Dizasta Vina - A Father Figure
Share it:

"ALBUM : Dizasta Vina - A Father Figure (Mp3 Download)", Tanzanian rapper, songwriter, and record producer. Dizasta Vina has dropped new Album titled "A Father Figure", It comprises of twenty, 20 heavy tracks, Enjoy it below.


Stream and Listern to “Dizasta Vina - A Father Figure” ALBUM below;

  1. Dizasta Vina - Father Figure ( Intro ) : DOWNLOAD
  2. Dizasta Vina - Not A Hore : DOWNLOAD
  3. Dizasta Vina - Wachezaji wa Timu : DOWNLOAD
  4. Dizasta Vina - Hatia V : DOWNLOAD
  5. Dizasta Vina - Mbuzi : DOWNLOAD
  6. Dizasta Vina - Chupa moja ya Ziada : DOWNLOAD
  7. Dizasta Vina Ft Kaa lamoto - Achia Jala : DOWNLOAD
  8. Dizasta Vina - Waridi : DOWNLOAD
  9. Dizasta Vina ft Baraka The Prince - Uwaridi Jeusi : DOWNLOAD
  10. Dizasta Vina ft Dash  - Mwanasesere : DOWNLOAD
  11. Dizasta Vina - Karibu Duniani : DOWNLOAD
  12. Dizasta Vina - Top Shelf : DOWNLOAD
  13. Dizasta Vina - Confession of A mad father : DOWNLOAD
  14. Dizasta Vina - Theluji : DOWNLOAD
  15. Dizasta Vina - Nobody is safes : DOWNLOAD
  16. Dizasta Vina - Fanani : DOWNLOAD
  17. Dizasta Vina - Hatia VI : DOWNLOAD
  18. Dizasta Vina ft Benno Mwampamba  - Get Better : DOWNLOAD
  19. Dizasta Vina - The last Confession : DOWNLOAD
  20. Dizasta Vina ft G nako  - Utaliimba Jina langu : DOWNLOAD

Share it:

Artists Album

Audio

dizasta vina

Post A Comment:

0 comments: