About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

Dont Miss

Download Full EP : Balaa MC - Sauti Ya Kitaa Mp3 Download

Download Full EP : Balaa MC - Sauti Ya Kitaa Mp3 Download
Share it:

Balaa Mc is a Tanzanian Bongo Flava recording artist and signed under 26 Kipaji Label. Balaa Mc is a young, talented and energetic musician from Dar es salaam Tanzania, He is recently announced his new Extended Play , EP titled "Sauti Ya Kitaa", or "Sauti Ya Kitaa EP", The "Sauti Ya Kitaa Ep" aim is to Educate as well as to entertain Tanzanian music lover. Enjoy "Sauti Ya Kitaa Ep" by Balaa Mc.


This EP/ALBUM Will First Appear here in Ngombozi.com!

 ( EP/ALBUM Premieres)


Share it:

Artists Album

balaa mc

singeli

Post A Comment:

0 comments: