About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

Dont Miss

Matokeo Darasa la Nne 2023/2024: NECTA SFNA Results Tanzania

Matokeo Darasa la Nne 2023/2024: NECTA SFNA Results Tanzania
Share it:

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili (FTNA) pamoja na matokeo ya darasa la nne , STANDARD FOUR NATIONAL ASSESSMENT (SFNA) 2023/2024


RELATEDMatokeo ya kidato cha pili 2024 Yametoka leo, Haya hapa matokeo ya form two 2024


FUATA MKOA HUSIKA KUTAZAMA

ARUSHA

DAR ES SALAAM

DODOMA

GEITA

IRINGA

KAGERA

KATAVI

KIGOMA

KILIMANJARO

LINDI

MANYARA

MARA

MBEYA

MOROGORO

MTWARA

MWANZA

NJOMBE

PWANI

RUKWA

RUVUMA

SHINYANGA

SIMIYU

SINGIDA

SONGWE

TABORA

TANGA


Share it:

Fresh Air

NEWS

Post A Comment:

0 comments: