About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

Dont Miss

Download Full Album : Balaa Mc - Sauti Ya Kitaa

Download Full Album : Balaa Mc - Sauti Ya Kitaa Album (Mp3)
Share it:

Balaa Mc is a Tanzanian Bongo Flava recording artist signed under 26 Kipaji record Label. Balaa Mc is a young, talented and energetic musician from Dar Es  Salaam Tanzania, Balaa Mc has recently dropped new Singeli Album titled as "Sauti Ya Kitaa", Stream it below

RELATEDBalaa Mc - Wivu

Listern to Balaa Mc - Sauti Ya Kitaa Album


Share it:

Artists Album

Audio

balaa mc

singeli

Post A Comment:

0 comments: