About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

Dont Miss

Kocha Florent Ibenge Kutua Klabu Ya Simba Sc

Kocha Florent Ibenge Kutua Klabu Ya Simba Sc
Share it:

Inatajwa kuwa Klabu ya simba wameweka jina la Florent Ibenge kama mrithi sahihi wa kocha aliye ondoka ndani ya timu Yao "AbdelhakBenchika"...

Ibenge ambae ndio mshindi wa CAF Confederation Cup na mwana fainali ya CAF Champions League Kwa sasa ana inoa Al Hilal Omdurman ya SUDAN....

Je! Klabu ya Simba inahitaji Kocha mwenye profile kubwa na iliyoshiba kama Ibenge ⁉️..Share it:

Fresh Air

NEWS

Post A Comment:

0 comments: