About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

Dont Miss

Orodha ya Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano na Vyuo 2024/2025

Orodha ya Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano na Vyuo 2024/2025
Share it:

Orodha ya Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kidato cha Tano na Vyuo 2024-2025

Takribani Wahitimu 188,787 kati ya 197,426 waliofaulu mitihani ya kidato cha nne mwaka 2023/2024 wamechaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano pamoja na vyuo mbalimbali nchini Tanzania msimu wa mwaka 2024-2025.

BONYEZA MKOA HUSIKA HAPA

ARUSHADAR ES SALAAMDODOMA
GEITAIRINGAKAGERA
KATAVIKIGOMAKILIMANJARO
LINDIMANYARAMARA
MBEYAMOROGOROMTWARA
MWANZANJOMBEPWANI
RUKWARUVUMASHINYANGA
SIMIYUSINGIDASONGWE
TABORATANGA

KUMBUKA : Muhula wa Kwanza unatarajiwa kuanza Julai 1 Mwaka 2024 kwa waliochaguliwa kidato cha tano 2024 , Na kwa waliochaguliwa kwenda Vyuo, Watapewa Maelekezo Maalumu ya namna ya Kujiunga Na Vyuo Hivyo.


Share it:

Fresh Air

NEWS

Post A Comment:

0 comments: