Breaking News

Elizabeth Micheal (Lulu) Aonyesha Picha Zake Mpya Za Ujauzito 2025

lulu ujauzito 2025
Mrembo muigizaji wa filamu nchini, Elizabeth Micheal maafuru Lulu ameonyesha picha zake mpya akiwa mjamzito.

Lulu ambaye ni Mke wa Mmiliki wa Kituo cha Television cha Tv E na Efm amekuwa akishika vichwa vya habari kutokana na aina za picha mpya ambazo amekua akiziachia.

Ambapo Kutoka kwenye ukurasa wa instragam wa @elizabethmichaelofficial amepost picha mpya akiwa mjamzito ambazo zimewaacha mashabiki wake wakijiuliza ni kweli ni mjamzito au ?






No comments