Breaking News

Yanga Sc Yatwaa Ubingwa wa NBC 2025, Yaichapa Simba Sc 2-0

ubingwa wa yanga Nbc 2024-25

Timu ya Wananchi, Yanga imetwaa ubingwa kwa kumchapa Mtani wake (Simba) mechi zote mbili..

Ubora wa kikosi cha Yanga umewapa ubingwa.. Hongera Yanga kwa ubingwa.. Hongera Simba kwa kumpa Yanga ushindani mpaka dakika ya mwisho

Magoli ya Yangasc yamefungwa na Pacome (p) na Clement Mzize

No comments