Matokeo Ya Darasa La Saba 2025 (Standard Seven - PSLE Results)
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Prof. Said A. Mohamed ametangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2025 leo tarehe 5 Novemba, 2025 Jijini Dar es Salaam.
Matokeo yanaonesha jumla ya watahiniwa 937,581 sawa na asilimia 81.80 ya watahiniwa 1,146,164 wenye matokeo wamefaulu mtihani huo.
>>>>BONYEZA HAYA MAANDISHI MEKUNDU KUTAZAMA MATOKEO YA DARASA LA SABA
Tembelea necta.go.tz kusoma zaidi.

No comments