Diamond Aonyesha Ukubwa Wake Mbele ya Davido, Wizkid na Burnaboy
Staa wa bongo flava , Diamond Platnumz ameonyesha ukubwa wake mbele ya Mastaa, Davido,Wizkid na Burna Boy, aiwakilisha Tanzania wingi wa show.
Ambapo Kwa mujibu wa Mtandao wa African Facts Zone imeonyesha Wasanii wa Afrika wanaopata "show" nyingi na kusafiri zaidi kimataifa.
Kutoka Afrika Mashariki , Diamond Platnumz ndiye msanii pekee aliyeingia kwenye orodha hiyo, akiwa amefanya shoo katika nchi 46.
Wasanii wanaoongoza barani Afrika ni:
- Davido - nchi 77 + maeneo 3,
- Black Coffee - nchi 65 + eneo 1,
- Angélique Kidjo - nchi 58 + eneo 1,
- Burna Boy - nchi 55,
- Rudeboy (P-Square) - nchi 55,
- Wizkid - nchi 50+ eneo 1,
- Diamond Platnumz - nchi 46
Takwimu hizi zinaonyesha jinsi muziki wa Afrika unavyozidi kushika kasi duniani.

No comments