Breaking News

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 (NECTA CSEE Results)

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 (NECTA CSEE Results)

Baraza la Mitihani la Taifa la Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) 2025, yakionyesha ongezeko kubwa la ufaulu kitaifa kwa wanafunzi wa shule za sekondari.

Matokeo hayo yametolewa leo, Jumamosi tarehe 31 Januari 2026, na Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said Mohammed, wakati wa mkutano rasmi na waandishi wa habari.

>>>Bofya Hapa Kutazama Matokeo Ya Form Four (4) 2025/2026

No comments