Nameless nasinzia II Imeharibiwa na Marioo?
Moja ya mdau mmoja wa muziki nchini amefunguka kuwa Nameless alikua anataka kuona utofauti wa muziki wa kipindi hicho ambao wao walikua wanafanya vizuri zaidi na sasa lakini mambo yameonekana kuwa tofauti na wengi wakiamaini Marioo ameharibu.
Kwa mtazamo wako nani amefanya vizuri katika ngoma hiyo ya Nasinzia ii?

No comments