Ads 0

Type Here to Get Search Results !

Watiwa Mbaroni baada ya kumuibia Mwanamama Simu pamoja na fedha

Vijana wawili mkoani Mbeya wanashikiliwa na uongozi wa mtaa wa Ndola Mbalizi Mbeya baada ya kumuibia mama mmoja mkazi wa Mbalizi simu pamoja fedha.Majina ya waharifu hao yamehifadhiwa huku mama aliyeibiwa amekiri kuwa vijana hao walimuibia Simu pamoja na Fedha takribani 35000 za kitanzania nyumbani kwake.


Matukio kama haya yamekua yakiendelea kutokea mkoani Mbeya ambapo mapema jana October 2 kijana mmoja jina lake limehifadhiwa amenusurika kifo kutoka kwa wananchi baada ya kukutwa na kuku ambao inasemekana ni wa wizi.


Kwa habari na matukio kama haya hakikisha unakaa nasi kupitia mitandao yetu ya kijamii NGOMBOZI MEDIA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad

Ads 2